JE NI HARAMU KUTUMIA MAJI YALIOSOMEWA KATIKA KUJITWAHIRISHA?
Swali: Je yafaa kutumia maji yaliosomewa na maji ya kawaida katika kujitwahirisha?
Jibu: Hakuna ubaya wa kutumia maji yalio changanywa katika kujitwahrisha au kutumia sampuli yoyte ile,si dhambi wala mtu hadhuriki kama watu wengi wanavyo dhania.
Na Allah ndie mjuzi zaidi